Mhubiri wa kanisa la Fire Gospel Ministries Michael Njoroge mapema Jumapili alifika kanisani na kuwatisha wanahabari wa NTV waliofichua sakata inayomhusu ya utapeli kwa jina la mungu. Mbali na hayo mhubiri huyo alikataa kuzungumza na wanahabari wetu. Mwanahabari wetu Mohammed Ali ana maelezo zaidi.
1600 Comments