Author thumbnail

NTV Kenya

NTV Adhuhuri

26,328 views
3,309 items
Updated today
public playlist
Mkenya Bilal Mohamed ashinda ubingwa wa Afrika wa mchezo wa kielektroniki jijini Lagos, Nigeria
2:05
Mashindano ya riadha ya NYS kaunti ya Machakos
1:36
Mafuriko: Wabunge wasema shule na barabara zilizoathirika zitajengwa upya
1:41
Mombasa: Wavuvi na mwekezaji wapigania sehemu ya ufuo wa bahari kisiwani
2:46
Homa Bay: Wanafunzi wa kike wanaoishi katika kambi za waathiriwa wa mafuriko wahofia kupewa mimba
2:46
Kenya imetishia kujiuzulu katika mazungumzo ya kujadili mabadiliko ya hali ya hewa
1:45
Bomet: Zaidi ya famila 50 kutoka kijiji cha Riverside zalazimika kuhama makwao kufuatia mafuriko
0:41
Watu watatu waaga dunia Turkana na 1,000 kupoteza makao Baringo baada ya mito kuvunja kingo
2:36
Wasanii wa uigizaji na mziki wanatumiwa kama wajumbe wa kueneza hamasisho kuhusu afya ya jamii
0:55
Mbunge Alice Ng'ang'a ameapa kwamba mswada uliowasilishwa bungeni kuhusu walemavu unapitishwa
1:07
Kikundi cha wanawake Narok kimekuwa kikitumia upandaji miti kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia
1:15
Gavana Barasa amewataka wakulima kuzingatia faida na manufaa yanayotokana na mbolea ya ruzuku
1:12
Takriban familia 200 eneo la Molo na Uthiru zimelazimika kuhama makwao baada ya mafuriko
3:41
Wakenya wanatarajia Rais kutoa mwongozo kuhusu mbinu mwafaka za kupambana na athari za mafuriko
1:25
Maafisa wa polisi wameungana na wahisani wa Oshwal kutoa msaada kwa walioathirika na mafuriko
1:11
Shughuli za uvuvi katika Bahari Hindi zapigwa marufuku kufuatia uwezekano wa kimbunga kutokea
1:06
Rais awataka mkuu na makamanda wapya wa jeshi kuendeleza sifa za utiifu, uwajibikaji na utaalamu
2:05
Aaron Kipkoech na Ruth Gaitho washinda makala ya kwanza ya mbio za Kitengela
1:45
Thunder ni vinara wa ligi ya shirikisho la mpira wa kikapu
1:29
Familia 300 mtaa wa Gachie, Kiambu zinahofia mkurupuko
1:31
Watu 179 wameuawa na mafuriko kote chini
2:35
Upasuaji wa maiti zilizotambulika unaendelea Mai Mahiu
3:36
Spika Moses Wetang'ula aidhinisha ombi la kumbandua Mithika Linturi
1:21
Sheria
1:05
Jenerali Charles Kahariri ateuliwa mkuu wa majeshi, Omenda naibu wake
0:45
Mkaguzi maiti Johansen Oduor aanza kukagua maiti ya waliofariki katika mkasa wa gharika la Mai Mahiu
4:47
Sitisha shughuli za ubomozi wa makao: Mbunge wa Embakasi kusini Musili Mawathe aambia serikali
1:30
Walimu wa sekondari Kaunti ya Nandi na Uasin Gishu kushinikiza tume ya TSC kuwaajiri kirasmi
1:52
Kikao maalum na baraza la mawaziri kuangazia mafuriko
1:02
Baraza la wazee wa Njuri Nceke imeanza kupatanisha viongozi wa Meru
1:01
Viongozi wa Kajiado waonya dhidi ya uchochezi wa fitina kwa wafanyakazi wa umma
1:33
Familia 2000 zilizoathirika kutokana na mkasa wa mafuriko kupata msaada ya chakula
1:52
Usafiri yatatizika baada ya barabara ya Kitale– Kapenguria- Lodwar kubomoka
1:23
Kikosi cha wachezaji 28 wa Kenya lionesses kimetajwa kushiriki Kombe la raga la Bara Afrika
0:47
Wabunge wa Kenya Kwanza watoa onyo kwa mawaziri wazembe
1:31
Watu sita waponea kifo Mto Thiba Kaunti ya Kirinyaga baada ya mafuriko
2:35
Miili miwili yaopolewa Tana River baada ya boti kuzama
2:49
Watu waliofariki waongezeka kutokana na mkasa wa mafuriko kale ya Kijabe
5:36
Vazi la kitenge lazidi kujizolea umaarufu nchini
3:14
Wakaazi wa Mathare waandamana wakilalamikia ubomoaji wa manyumba
1:36
Zaidi ya watu 40 waaga dunia katika mkasa wa mafuriko Mai Mahiu
1:51
Zaidi ya Familia 85 zimepata msaada eneo la Katelembu kaunti ya Machakos
0:57
Ukaguzi wa Waziri Murkomen huko Mai Mahiu
0:46
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko imefika 103 kwa sasa
0:45
Mwanafunzi walazimika kurudi nyumbani
1:49
Wazazi Kajiado wajipata njia panda
0:57
Walimu wa sekondari Mombasa washtumu TSC kutotekeleza matakwa yao
1:53
Mashindano ya shirikisho la riadha nchini AK yaliyoandaliwa katika uwanja wa Eliud Kipchoge Complex
1:35
Fedha kutengwa kwa ajili ya kuu karabati uwanja wa Kenyatta
1:28
Repoti Kutoka Bygettes Ngana Mai Mahiu
4:33
Mto ya Kijabe Kuadhiri watu na familia kupoteza makao yao
1:55
Serikali imetukosea kuadhimisha ufunguzi wa shule kwa wiki moja-wazazi wa kaunti ya Meru wasema
0:56
Watu wa Sita wa aga baada ya poromoko eneo la Gitugi, kaunti ya Murang'a
2:27
Chakula kupeana eneo la Limuru, katika jiko kuu la Kamandura
1:26
Mai Mahiu: Watu 45 waaga dunia baada ya bwawa la Kijabe kuvunja kingo zake
11:43
Uchaguzi wa viongozi wa chama tawala cha UDA mashinani umeanza leo katika baadhi ya kaunti.
6:19
Wanasayansi kutoka bara Afrika wakutanisha bongo kujadili mikakati ya kukabili milipuko ya magonjwa
1:45
Viongozi wawaomba walioathiriwa na mafuriko wasalie kwenye kambi hadi mvua itakapopungua
2:48
Magavana wa kaunti za Mlima Kenya  wafufua ajenda ya kushinikiza mfumo wa kugawa rasilimali za umma
1:15
Madiwani wa Laikipia wasitisha shughuli za bunge wakilalamikia kukithiri kwa visa vya ujahili
1:40
Shughuli za mazishi ya baadhi ya maafisa wa KDF walioaga dunia katika ajali ya ndege zinaendelea
2:27
Nairobi City Stars wategemea kumaliza ndani ya tano bora katika ligu kuu ya FKF
1:16
Kozi za masuala ya bahari kuanzishwa na shule ya Pioneer
0:35
Vituo vya afya vimetakiwa kuthamini teknolojia mpya za kuwasajili wagonjwa
1:04
Wabunge 8 wa Uganda watembelea mradi ya kijamii katika mtaa wa Kibera
1:40
Opiyo Wandayi akana upo uporaji katika mradi wa Bunge Tower
3:01
Wadau wanataka NHIF kutorithisha SHIF madeni yake
2:08
Ukosefu wa mipango dhabiti vimechangia kuwepo kwa mafuriko, waziri Wahome asema
1:09
Wakazi wa Limuru wahamishwa kutokana na mafuriko
2:12
Jelani Kihanya na Antonia Mbuthia watwaa taji la jumla katika mashindano Gofu ya NCBA
0:34
Madaktari wa mifugo wapongeza msako unaoendelea wa madaktari tapeli
1:14
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji chini ya miaka 20 kuchuana na Tunisia
0:47
Kampuni ya Isuzu imeandaa makala ya pili ya tuzo za mauzo katika nchi za Afrika Mashariki
1:49
Kongamano la E-Mobility lafanyika katika jumba la KICC
4:48
Kisima cha maji chafanyiwa ukarabati kupunguza mizozo ya uhaba wa maji, Isiolo
1:42
Kaunti ya Tana River yashirikiana na wadau vijijini kufadhili mradi wa afya
1:29
Mchezaji wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu Madina Okot ametia sahihi mkataba na timu ya Amerika
0:44
Zaidi ya lita 6000 ya pombe haramu yanaswa Meru
1:34
Hali ya sintofahamu ilitanda Kiambaa baada ya mti wa Mugomo kuanguka
1:01
Teknolojia ya akili mnemba kutumika kutoa huduma za bima ya afya
1:08
Wadau wa haki za kijinsia wawasilisha hoja ya dhulma ya kinjinsia bungeni
1:32
Kanuni za trafiki: Wadau na uchukuzi walaumu polisi kwa ulegevu
1:36
Pokot Magharibi: Wakazi wa Kipkomo wajizatiti ili kupambana na changamoto za ukame
2:15
Timu za mkoa wa Nyanza Obunga FC na Plateau Queens ndio washindi w Safaricom Chapa Dimba
1:06
Kajiado: Wakazi kunufaika na mradi wa maji yanayozolewa kwa kutumia nguvu za miale ya jua
1:30
Murang'a: Wakulima wa ng'ombe wa maziwa kupata ruzuku kutoka kwa serikali ya kaunti
1:56
Shirika la Linda Mnazi na washikadau wengine waiomba serikali kuunda idara ya Mnazi
1:45
Wabunge wa Azimio wamtaka Rais Ruto kumpiga kalamu waziri wa kilimo Mithika Linturi
1:20
Nakuru: Mwanafunzi wa shule ya msingi miongo mwa washukiwa 16 - Polisi
1:41
Mombasa: Mshukiwa mkuu wa biashara haramu ya mihadarati afikishiwa mahakamani
0:50
Wakenya wapaza sauti zao kuhusu ongezeko la ajali nchini
2:04
Muhadhara wa umma wa kuzienzi kazi za Marehemu Ken Walibora katika tasnia yake
1:52
Shule za watoto walio na mahitaji maalum nchini zinatoza karo ghali zaidi kwa wazazi
1:43
Wafugaji wa Busia wanahofia kufungwa kwa soko la mifugo baada ya maradhi yasiyojulikana kuchipuka
1:06
Mwenyekiti wa KEPSHA ameitaka serikali kuwapa nyongeza ya mishahara na kuwapandisha madaraka walimu
1:22
KMPDU tawi la Magharibi imeandaa maandamano ya amani kushinikiza serikali kuyatakia matkwa yao.
3:20
Wakazi wa Nyando waelezea wasiwasi wao kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha madhara
2:32
Mawawakilishi wadi wamejitokeza kumtetea Gavana Sakaja kwa madai kwamba analengwa visivyo na Seneti
1:21
Afisa wa polisi aliyenaswa kwenye kamera 'akikusanya hongo' asimamishwa kazi
1:21
Infotrak: Ushuru unawanyanyasa wakenya
1:31